Habari za Punde

Ligu Kuu Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Kati ya Taifa ya Jangombe na Idumu Uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Taifa Wakombozi wa Ngombu Imeshinda Bao.5-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Idume akiwania mpira na Beki wa Timu ya Taifa ya Jangombe katika mchezo wao wa Ligi Kuu Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Taifa ya Jangombe (Wakombozi wa Ngomba) wameshinda mchezo huo kwa bao.5-0. 
Wapenzi wa mchezo wa Soko Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu Daraja la Kwanza uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong kati ya Idumu na Taifa ya Jangombe.













No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.