Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Samia Suluhu Hassan Afungua Semina ya Wabunge Wanawake Afrika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Semina ya Siku nne kwa Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu  Juu ya kuhamasisha Wajumbe Wanawake katika masuala mbalimbali ya kuboresha Ushirikiano wa Wanawake katika Michakato ya kuongeza Idadi  yao kwenye Vyombo vya Maamuzi  hususan Bungeni, Jumla ya wajumbe kutoka Nchi 18 za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika wanashiriki kwenye Semina hiyo iliyofunguliwa  leo 27 Octoba 2019 katika Ukumbi wa  Gran Malia Jijini Arusha.



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa  Semina ya Siku nne kwa Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu  Juu ya kuhamasisha Wajumbe Wanawake katika masuala mbalimbali ya kuboresha Ushirikiano wa Wanawake katika Michakato ya kuongeza Idadi  yao kwenye Vyombo vya Maamuzi  hususan Bungeni, baada ya kufungua Semina hiyo Jumla ya wajumbe kutoka Nchi 18 za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika wanashiriki kwenye Semina hiyo iliyofunguliwa  leo 27 Octoba 2019 katika Ukumbi wa  Grand Malya Jijini Arusha.  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa  Semina ya Siku nne kwa Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu  Juu ya kuhamasisha Wajumbe Wanawake katika masuala mbalimbali ya kuboresha Ushirikiano wa Wanawake katika Michakato ya kuongeza Idadi  yao kwenye Vyombo vya Maamuzi  hususan Bungeni, baada ya kufungua Semina hiyo Jumla ya wajumbe kutoka Nchi 18 za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika wanashiriki kwenye Semina hiyo iliyofunguliwa  leo 27 Octoba 2019 katika Ukumbi wa  Grand Malya Jijini Arusha.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.