Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA TABORA-KOGA MPANDA KM 342.9, AFUNGUA BARABARA YA STALIKE MPANDA KM 36.9 PAMOJA NA STAND YA MABASI YA MIZENGO PINDA MPANDA MKOANI KATAVI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Meneja Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiruku ashuhudia uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Wengine katika pichani Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wa kwanza kulia, Waziri wa Madini Doto Biteko, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri, Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe pamoja na viongoziwengine.
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakivutautepepamojanaMenejaMkaziwaBenkiyaMaendeleoyaAfrika (AfDB) nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru, MkewaRais Mama Janeth Magufuli, MkuuwaMkoawaTaboraAgreyMwanrikuashiriauwekajiwajiwe la msingiujenziwamradiwabarabarayaTabora-Koga-Mpanda 342.9 katikasherehefupizilizofanyikakatikamanispaayaMpandamjinimkoaniKatavi.
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakimshukuruMenejaMkaziwaBenkiyaMaendeleoyaAfrika (AfDB) nchini Tanzania Dkt. Alex Mubirumarabaadayakuwekajiwe la msingi la uzinduziwaujenziwabarabarayaTabora-Koga-Mpanda 342.9 inayojengwakwakiwango cha lami
SehemuyaBarabarayaMpanda –Stalikeiliyokamilikakujengwakwakiwango cha lami. 
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakimpongezaWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano Eng. IsaackKamwelwemarabaadayakuzinduanakufunguamiradiyabarabaramkoaniKatavi
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakiwakatikapichayapamojanaWakandarasi, WahandisiWashauriwamiradiyabarabarayaTabora-Koga-Mpanda 342.9 katikasherehefupizilizofanyikakatikamanispaayaMpandamjinimkoaniKatavi
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakizungumzanawanachiwaliojikusanyapembezonimwabarabarazaMpandamjinimarabaadayakufunguamiradiyabarabaramkoaniKatavi
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakiwanaMkewe Mama Janeth Magufuli pamojanaviongoziwengine, akikatautepekuashiriaufunguziwaStendiKuuyaMabasiMizengoPindanjekidogoyaManispaayaMpandamkoaniKatavi.
Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuliakizungumzamarabaadayakufunguastendihioyamabasi.

Raiswa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe MagufuliakielekeanjeyalangokuuyaStendihioyamabasikuzungumzanawananchimarabaadayakuifungua. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.