Habari za Punde

Tulikotoka Enzi za Kahawa Kuuziwa Katika Dele Zenj.

Tujikumbushe enzi za kahawa kuuziwa katika Dele maalum na wauzaji kuwa katika vazi kama hilo la kikoto na kupitisha mitaani na katika maeneo maalum ya kuuziwa kahawa katika Visiwa vya Zanzibar.Wachache wamewahi kuona na kwa sasa madele hayo yamebaki kuwa historia katika maduka ya kuuzia vitu vya Kitalii Zanzibar katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar utayakuta yakiwa katika maduka hayo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.