Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Bibi Wang Ke akitoa salamu kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Wasomi wa Kitanzania wanaosoma Nchini China uliofanyika Hoteli ya Hyyat Regence Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia wakati wa hafla ya ufungaji wa Mkutano wa Jumuiya ya Wasomi wa Kitanzania wanaosoma Nchini China { CAAT} hapo Hyat Regence Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua Saccos ya Jumuiya ya Wasomi wa Kitanzania wanaosoma Nchini China Mara baada ya kuufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo hapo Hyat Regence Jijini Dar es salaam.
Balozi Seif akizindua Mtandao wa Wasomi Wanawake wa Kitanzania wanaosoma Nchini China kwenye baada ya kuufungua Mkutano wa Jumuiya ya {CAAT} hapo Hyat Regence Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua Mkutano wa Jumuiya ya Wasomi wa Kitanzania wanaosoma Nchini China { CAAT} hapo Hyat Regence Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment