Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Ashiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilayani Ruangwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki. Katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea  wakati mwenge huo ulipopokelewa wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea  wakati alipozungumza katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. Wa tatu kushoto ni Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea na wa nne kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Mwenge kutoka kwa mmoja wa wakimbiaza Mwenge wa Uhuru, Nkwimba Madirisha Nyangogo wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru wakati mwenge huo ulipopokelea wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameubeba Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika katika uwanja wa Shule ya Misngi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa na kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge, Mzee Ali Mkongea

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.