Habari za Punde

Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Kilimo Duniani Viwanja Vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia Karafuu mbichi alipokuwa akitembelea banda la Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar.(ZSTC) wakati akitembelea Maonesho hayo baada ya kuyafungua katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia Karafuu zilizokauka akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakati wakitembelea mabanda ya moanesho katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa Idara ya Mifugo Zanzibar akitowa maelezo ya Kitalu cha majani ya kulishia ngombe yaliopandwa katika eneo hilo kwa kuonesha Wananchi wanaofika katika maonesho hayo ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba. 














No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.