Meli ya Zan Fist Ferres ikiwa katika bandari ya Zanzibar ikishusha abiria na mizigo na kupakia Abiria ya kwenda Pemba katika Bandari ya Malindi Visiwani Zanzibar kama ilivyokutwa na Camera yetu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Mwinyi Amejumuika na Wananchi Katika Maziko ya Muasisi wa UWT Marehemu Asha
Simba Makwega
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika Sala ya Maiti
ya...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment