Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la
Polisi, CP Liberatus Sabas, akisalimiana na wakazi wa Pasua Boma Mbuzi wilayani
Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kumalizika kwa kikao chake na wananchi hao
aliowapongeza kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika kupunguza
uhalifu katika makazi yao
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la
Polisi, CP Liberatus Sabas akizungumza na wakazi wa Pasua Boma Mbuzi wilayani Moshi
mkoani Kilimanjaro katika mkutano wake na wananchi juu ya kutatua matatizo
madogo madogo huku akiwapongeza kwa kuhakikisha wamepunguza uhalifu kwenye
makazi yao
Kamishna wa
Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akifurahia jambo
na wanafunzi wa shule za msingi waliokuja kumsalimia baada ya kumalizika kwa
mkutano wake na wananchi zaidi amewapongeza kwa kushirikiana na vyombo vya
ulinzi na usalama katika kupunguza uhalifu kwenye makazi yao.
(Picha na Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment