Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa
Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko
wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa) wakipeana mikono ya Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki
wakati wa ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mtoto Cephas Kinunda mara baada ya ibada ya Misa Takatifu
Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa
parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi na Mzee wa Kanisa Dkt.
Adelhelm Meru mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C”
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment