Habari za Punde

Muenekano wa Jengo Jipya la Skuli Katika Eneo la Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.

Moja ya Skuli za Sekondari za Kisasa zilizojengwa katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar moja wapo ni hili la Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake na kutowa  huduma ya Elimu ya Sekondari kwa Watoto wa Mkoa wa Kusini Unguja. 
1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.