Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Yafana Pemba

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akipokea maandamano ya maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu huko katika Viwanja vya Skuli ya Mohammed Juma Pindua, huko Mkoani Pemba.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akipokea maandamano ya maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu huko katika Viwanja vya Skuli ya Mohammed Juma Pindua, huko Mkoani Pemba.
Brass band ya Chipukizi Pemba , ikipita mbele ya Mgeni rasmi katika maandamano ya maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu yaliofanyika huko katika Kiwanja cha Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pinduwa,huko Mkoani Pemba.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Mihayo Juma Nunga, akieleza machache na kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed, ili aweze kuzungumza na Wananchi na watu wenye wenye Ulemavu katika maadhimisho ya siku ya Walemavu Duniani ambayo Kitaifa kwa Zanzibar, yamefanyika katika Skuli ya Mohammed Juma Pinduwa. 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Mohammed Aboud Mohammed, akihutubia Wananchi na watu wenye Ulemavu mara baada ya kupokea maandamano ya Watu wenye Ulemavu, huko katika Skuli ya Mohammed Juma Pinduwa Mkoani Pemba , ikiwa ni maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu Duniani ambayo Kitaifa yalifanyika Skulini hapo.
 Mkurugenzi wa Idara ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar, Abeida Abdalla Rashid, akitowa neno la Shukrani mara baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed 
Baadhi ya Wananchi wakiwa katika maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu yaliofanyika Kitaifa yaliofanyika katika Viwanja vya Skuli ya Mohammed Juma Pinduwa , Mkoani Pemba.
Baadhi ya Wananchi wakiwa katika maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu yaliofanyika Kitaifa yaliofanyika katika Viwanja vya Skuli ya Mohammed Juma Pinduwa , Mkoani Pemba.Picha na Hanifa Salim - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.