Habari za Punde

Mkutano wa Mwaka wa Mtandao wa Wataalam wa Maabara Nchini (LABSNET) Wafanyika Jijini Arusha,

Mratibu wa Mradi wa Kuwezesha Maabara nchini kutoka Finland, Dkt. Mika Aho , akifafanua umuhimu wa mradi huo katika kuimarisha maabara kwenye uchunguzi na utambuzi wakati wa mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumia dhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha. 
Baadhi ya Wataalam wa Maabara kutoka nchin Marekani na Kutoka hapa nchini wakifuatilia mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumia adhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha.
Mratibu wa Mradi wa Kuwezesha Maabara nchini kutoka Finland, Dkt.Lina Voutilainen, akifafanua umuhimu wa mradi huo katika kuimarisha maabara kwenye uchunguzi na utambuzi wakati wa mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumia dhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha.
Mtaalam wa Maabara kutoka sekta ya mifugo akifafnunua umuhimu wa kutumia Dhana ya Afya moja katika kuimarisha na kuboresha utendajiwa maabara nchini wakati wa mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumia dhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha.
Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Uchunguzi  wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Alex Magesa akifafnunua umuhimu wa kutumia Dhana ya Afya moja katika kuimarisha na kuboresha utendajiwa maabara nchini wakati wa mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumia dhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha.
Baadhi ya Wataalam wa Maabara kutoka sekta ya Afya ya Binadamu ,Wanyamapori na Mifugo wakifuatilia mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumi dhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha.
Mtaalam wa Maabara kutoka nchiniMarekani, Dkt. Saindon, akifafanua umuhimu wa mradi huo katika kuimarisha maabara kwenye uchunguzi na utambuzi wakati wa mkutano wa mwaka kwa wataalam wa maabara waliokutana kwa kutumia dhana ya Afya  moja  inayojumuisha  sekta za Afya ya Binadamu , Wanyamapori, Mifugo na mazingira, jijini Arusha
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.