Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Azindua Maadhimisho ya Miaka 60 ya TANAPA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua Minara Miwili ya kumbukumbu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Saluti ya heshima kutoka kwa Jeshi Usu la Maliasili wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Rasmi la Jeshi Usu la Maliasili kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,20
Askari wa Jeshi Usu la Maliasili wakionesho Onesho la kupambana na Ujangili wakati Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Pro. Adolfo Mascarenhas kwa kutambua Mchango wake Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Mzee Lota Melamari kwa niaba ya Makamishna Wastaafu wa TANAPA kwa kutambua Mchango wake Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Deogratius Chami kwa niaba ya Makundi ya watu wenye Mahitaji Maalum kwa kutambua Mchango wao Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kasha la Wakati la kuhifadhia kumbukumbu za nyaraka za Hifadhi za Taifa wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.