Habari za Punde

Muonekano wa Jumba la Treni Darajani Kabla ya kuaza Biashara katika Eneo hilo Jijini Zanzibar.

Muonekano ya Jumba la Treni Darajani kabla ya kuaza kwa harakati za biashara katika eneo hilo maarufu Zanzibar kwa biashara za aina mbambali zinazofanyika katika eneo hilo kwa Wakazi wa Jijini la Zanzibar hufika kujipatia mahitaji yao ya kila siku kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.