Habari za Punde

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA MAJADILIANO CHA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NEC KILICHOFANYIKA JIJINI MWANZA. DESEMBA 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ali Mohamed Sheini, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na  kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini wakiimba wimbo wa chama na wajumbe wengine katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na  kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha  Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na  kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza.
Wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM Taifa (NEC) wakimshangili Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na  kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha  Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na  kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) mara baada ya Kikao cha  ufunguzi wa Majadiliano chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na  kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.