Habari za Punde

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SH. BILIONI 4.2 KUTOKAJAPAN KWA AJILI YA KUFUFUA SHIRIKA LA TAFICO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia), na Naibu na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Bw. Katsutoshi Takeda, wakisaini mkataba wa Msaada wa Sh. 4.2 kwa ajili ya kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia), na Naibu na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Bw. Katsutoshi Takeda, wakibadilishana mkataba wa Msaada wa Sh. 4.2 kwa ajili ya kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) ambapo TAFICO itaweza itaweza kuwa na Meli ya Uvuvi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia), na Naibu na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Bw. Katsutoshi Takeda, wakiwa wamenyenyua Mkataba wa Msaada wa Sh. 4.2 kwa ajili ya kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kwa upande wa Uvuvi Dkt. Rashid Tamatamah, akielezea jitihada za Serikali za kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wakuu wa Idara na Maafisa waandamizi (mbele) kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakishuhudia kusainiwa kwa mkataba wa Msaada wa Sh. 4.2 kwa ajili ya kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia), na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Bw. Katsutoshi Takeda (wa tatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Tanzania na Japani baada ya hafla ya kusainiwa kwa mkataba wa Msaada wa Sh. 4.2 kwa ajili ya kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), Jijini Dar es Salaam.

(Picha na Peter Haule, WFM, Dar es Salaam)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.