Habari za Punde

Changamkieni Fursa! German-Africa Expo & Intern.Afrika Festival Tübingen 2020 Ujerumani

Watayarishaji wa maonyesho makubwa ya German-Africa International Expo yanaoambata na Afrika International Festival Tübingen,yatakayofanyika kuanzia 27 Julai mpaka 2 Augosti 2020 katika mji wa Tübingen,nchini Ujerumani , wamefungua milango ya maombi kwa wale wanaotaka kushiriki katika maonyesho hayo.ambapo kutakuwa na maonyesho ya makampuni ya kiafrika na bidhaa zao,maonyesho ya sanaa na utamaduni,na wale wenye makapuni ya shughuli za utalii wote mnakaribishwa kuwahi fursa ,Pia kutakuwa na semina ya wanahabari ambayo hiyo itakuwa ni maalumu kwa wanahabari wa kiafrika.
Msikose kutumia fursa hii adimu ya kushiriki katika maonyesho haya
ya kimataifa ambayo yana faida kubwa kwa wasanii,wanahabari,wanamitindo na makampuni (SMEs) na bidhaa zenu,nufaika kwa kujitangaza kimataifa.
kontakt@afrikafestival, pia unaweza kuwasiliana +255(0)713457743(Shamsa)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.