Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Azungumza na Waziri Mhe Zungu Ofisi Kwake leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa Majukumu yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa Majukumu yake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.