Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Dkt. Mary Mwanjelwa akizungumza na wanakijiji wa Ntandabala kata ya Masoko Wilayani RUNGWE katika ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa kurasimisha raslimali za wanyonge ( MKURABITA).
Watendaji wa
Halmashauri zinazonufaika na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA) watakiwa kubeba dhamana ya kutoa elimu kuhusu
manufaa ya hatimiliki za kimila ili walengwa wa mpango huo wanufaike kupitia
hati hizo.
Wito huo umetolewa jana
na NaibuWaziri,OfisiyaRais,MenejimentiyaUtumishiwaUmmanaUtawala Bora, Mhe.Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) kwa WatendajiwaHalmashauri akiwa katika ziara ya kikazi Wilayani
Rungwe yenye lengo la kukagua
utekelezaji wa miradi ya MKURABITA.
Mhe. Dkt. Mwanjelwa
amesema nimetembeleamiradiya MKURABITA iliyopokatikabaadhiyaHalmashaurinakugunduakuwa
WatendajiwaHalmashauriilipomiradihiyohawatekeleziwajibuwaowakuwaelimishawananchijuuyaumuhimuwakurasimisharaslimalinabiasharazao.
“MkurugenzinaMwenyekitiwaHalmashaurihakikishenikatikampangokaziwenumnaliwekea
kipaumbelesualala elimu kuhusu MKURABITA kwasababulina manufaa kwa wananchi
ambao Mhe. Rais, Dtk. John Pombe Magufuli amekuwa mstari wa mbele
kuwawezesha”.
Aidha, Dkt.
Mwanjelwaamezishukurubaadhiyataasisizakifedhakwa kutambua Hatimiliki za Kimila
na kutoa mikopoya zaidi ya shilingi milioni miatisa kwawakulimawa chai
waWilayahiyo,ikiwemoBenkiya CRDB, NMB na SACCOS yakijiji cha Ntandabala.
Mratibuwa MKURABITA,Dkt.
SerafiaMgembeamesemawananchiwaliopatahatimilikizakimilawanakabiliwanachangamotoyakutokujuanamnayakuzitumiahatihizokupatamikopoikiwemoujuziwakubunimiradinanamnayakuandikampangokaziwakuombeamkopo.
Dkt. Mgembe
amezishauritaasisiza kifedhazifunguedirisha la
kutoaelimukwawananchiiliiwerahisikwaokutambuanamnawanavyowezakupatamitajinakujiendelezakiuchumi.
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb)
yuko mkoani Mbeya katika ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na
Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA).
Baadhi ya Wazee na Vijana wa kijiji cha Ntandabala kilichopo Kata ya Masoko Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya wakimsikiliza, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Dkt. Mary Mwanjelwa alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya uamuzi wa serikali kuanzisha mpango wa kurasimisha raslimali za wanyonge (MKURABITA) na faida zake kwa wanufaika.
Baadhi ya akina Mama wa Kijiji cha Ntandabala kilichopo kata ya Masoko Wilayani Rungwe wakimshukuru Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Dkt. Mary Mwanjelwa kwa kufanya ziara kijijini hapo na kutoa maelekezo yatakayowasaidia kutatuliwa kero zao za kurasimishiwa maeneo yao na kunufaika na mikopo katika taasisi za fedha.
No comments:
Post a Comment