Habari za Punde

Uwekaji wa jiwe la msingi ofisi na studio ya ZBC Mkanjuni Chake Chake, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar

 MWENYEKITI wa Bodi ya shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Ummiy Mahfoudh Aley, akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, mara baada ya kuwasili katika ofisi za ZBC TV Mkanjuni Chake Chake, kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Ofisi na Studio ya ZBC Mkanjuni, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya  Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN).
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar  Balozi Mohamed Ramia Abduwawa (kushoto) akikunjuwa kitambaa na Naibu Katibu Mkuu anayeshuhulikia mambo ya habari  kutoka Wizara ya Habari utalii na Mambo ya Kale Dr Saleh Yussuf Mnemo, kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi na studio za ZBC Mkanjuni, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya  Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN).
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akifuatilia kwa makini ngoma ya Mkota ngoma ya pujini, wakati wauwekaji wa jiwe la msingi ofisi na Studio ya ZBC Mkanjuni Chake Chake Pemba, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya  Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN).
 NAIBU atibu Mkuu anayeshuhulikia mambo ya habari  kutoka Wizara ya Habari utalii na Mambo ya Kale Dr Saleh Yussuf Mnemo, akitoa taarifa ya kitaalamu juu ya ujenzi wa ofisi na studio ya ZBC Mkanjuni Chake Chake Pemba,ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya  Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN).

BAADHI ya wafanyakazi wa shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) wakifuatilia kwa makini uwekaji wa jiwe la msingi ofisi na studio ya ZBC Mkanjuni Chake Chake, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya  Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN).
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akizungumza na wananchi na wafanyakazi wa ZBC mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ofisi na studio iliyopomkanjuni, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya  Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.