Habari za Punde

Kongamano la miaka 56 ya Mapinduzi lafanyika kisiwani Pemba

AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ali Salum Matta, akiwakaribisha viongozi mbali mbali katika kongamano la Miaka 56 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akifuatilia kwa makini Kongamano la Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufua ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake, huku akiwa na viongozi mbali mbali waserikali ya Mapinduzi Zanzibar .(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Shaaban Seif Mohamed, akungumzia malengo ya Kongamano la miaka 56 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zazniabr Balozi Amina Salim Ali, akifungua kongamano la miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zazniabr Balozi Amina Salim Ali, akifungua kongamano la miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 Dkt Mauwa Abeid Daftari akiwasilisha mada ya wasifu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Shekhe Abeid Amani Karume, katika kongamano la Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

 MUWASILISHAJI wa Mada juu ya hali halisi ya Maendeleo kabla ya na Baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964, katika kongamano la Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

BAADHI ya wanafunzi wa skuli mbali mbali Pemba wakichangia katika kongamano la Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.