Mdadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu
(NBS) Bi.Albina Gabriel akifanya mahojiano na mkazi wa Kitongoji
cha Bacho A, Kata ya Dareda Wilayani Babati Mzee Lohay Luhiyo
Magara wakati wa zaozi la utafiti kuhusu hali ya Kaya, upatikanaji wa chakula, huduma za afya,
ushirikishwaji wa wanawake katika kufanya maamuzi na masuala mengine yanayolenga kuleta ustawi wa wananchi, Utafiti huo unajulikana kama utafiti wa Feed
the Future unaendelea kufanyika.
Mdadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu
(NBS) Bi.Amina Jumanne akisisitiza jambo kwa mkazi wa Kitongoji cha Bacho A, Kata
ya Dareda Wilayani Babati Bi. Sophia Petro wakati wa zoezi la Utafiti wa
Feed the Future unaendelea kufanyika.
Mdadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu
(NBS) Bi.Albina
Gabriel akimpima uzito mtoto Fabiano Christopher wa Kitongoji cha Bacho A, Kata
ya Dareda Wilayani Babati Mkoani Manyara wakati wa Utafiti wa
Feed the Future unaendelea kufanyika.
Mdadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi.Getrude Rwehumbiza akifanaya mahojiano na moja ya familia katika Kitongoji cha Bacho A, Kata ya Dareda Wilayani Babati Mkoani Manyara wakati wa utafiti wa Feed the Future unaendelea kufanyika.
Mdadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu
(NBS) Bi.Getrude Rwehumbiza akifanaya mahojiano na moja ya familia katika Kitongoji cha
Bacho A, Kata ya Dareda Wilayani Babati Mkoani Manyara wakati wa utafiti wa Feed the Future unaendelea kufanyika.
(Pichazotena
NBS)
No comments:
Post a Comment