Habari za Punde

ZIiara ya Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Visiwani Zanzibar.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati akizindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini, Kizimkazi Dimbani, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akibonyeza kitufe kuzindua huduma ya (ULTRA SOUND), baada ya kuzindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini, Kizimkazi Dimbani, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kupimia uzito, kwenye kituo cha afya cha Kizimkazi Dimbani, baada ya kuzindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akigawa chandarua kwa Mzazi, Zalha Khatib, kwenye kituo cha afya cha Kizimkazi Dimbani, baada ya kuzindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi, katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib, Unguja, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.