Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Uongozi wa CRDB Ikulu Jijini Zanzibar Walipofika Kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa CRDB.Ndg Abdulmajid Mussa Nsekela 13-2-2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, alipowasili katika ukumbi kwa mazungumzo na Ujumbe wa CRDB  uliuofika Ikulu Jijini Zanzibar leo, 13-2-2020 kwa mazungumzo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB.Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, akitowa maelezo ya mafanikio ya Benki ya CRDB wakati wa mazungumzo hayo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,13-2-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, hafla hiyo imefanyika leo 13-2-2020. Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa jezi na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, wakati walipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangali moja ya jezi aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa CRDB. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Ndg. Ally Hussein Laay ( kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benk ya CRDB Ndg.Abdulmajid Mussa Nsekela, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki hiyo, hafla hiyo imefanyika leo 13-2-2020.Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB.Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, na (katikati) Mwenyekiti  wa Bodi ya Wakurugenzi  Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, wakitoka katika ukumbi  baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika kujitambulisha leo 13- 2-2020 Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein  akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake (kushoto kwa Rais ) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Ndg. Ally Hussein Laay na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB.Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi  ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Ndg. Ally Hussein Laay (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Ndg. Abdulmaji Mussa Nsekela. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Kiterngo cha Mahusiano wa CRDB.Bi. Esther  Tully Mwambapa baada ya kumalizika kwa mazungumzo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.