Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed. Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakati wa kuwasilisha Utekelezaji wa Mpango Kazi  kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu 19-2-2020, Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwasilisha  muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kulia) Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Choum Kombo Khamis
Baadhi ya Maofisa na Wakurugenzi  wa  Idara za Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 /2020, wakati ikiwasilishwa taarifa hiyo na Katibu Mkuu.Bi. Khadija Bakari Juma(hayupo pichani) 
KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Bi. Khadija Bakari Juma, akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yake kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kushoto Naibu Katibu Mkuu Dkt. Saleh Yussuf Mnemo.
Baadhi ya Wakurugenzi  wa Idara na Mashirika ya Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 /2020, wakati ikiwasilishwa taarifa hiyo na Katibu Mkuu.Bi. Khadija Bakari Juma(hayupo pichani) 
MAOFISA wa  Idara na Mashirika ya Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 /2020, wakati ikiwasilishwa taarifa hiyo na Katibu Mkuu.Bi. Khadija Bakari Juma(hayupo pichani) 
MKURUGENZI Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed Salum akijibu swali wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale, kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) 
AFISA Mipango  wa Shirika la Magazeti la Zanzibar Leo Bi. Wanu Ali Makame akijibu swali wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir,(kulia ) Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar. Ndg Mahmoud Omar na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar. Dkt. Saleh Yussuf Mnemo, wakifuatilia taarifa hiyo ya Utrekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi Julai hadi Disemba 2019/2020No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.