Habari za Punde

Uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Likiwa na Kauli Mbiu "Paza Sauti Kataa Unyanyasaji wa Kijinsia Zanzibar"

Washiriki wa Maandamano ya Uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wakipita katika Mitaa ya Mji Mkongwe Jijini Zanzibar  wakielekea katika viwanja vya Forodhani kumalizia maandamano hayo katika viwanja hivyo. Uzinduzi huo umefanyika jana 13-2-2020.Maandamano hayo yameazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.