Habari za Punde

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi Aongoza Dua Maalum ya Kuiomba Nchi Kutikata na Maradhi ya Korona Iliofanya Jana Usiku Kupitia Vyombo Vya Habari Zanzibar.

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akiongoza Dua Maalum ya kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona na baadhi ya Masheikh wa Zanzibar, iliofanyika jana usiku 27/3/2020 kupitia Vyombo vya Habari vya ZBC TV na Redio, katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Jijini Zanzibar na kurushwa moja kwa moja na kupitia vyombo hiyo na kuwafikia Wananchi kujumuika katika dua hiyo.(kushoto kwa Mufti) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar. Sheikh. Hassan Othman Ngwali, Sheikh.Said Suleiman, Sheikh. Fadhil Soraga, Sheikh. Shaban Ali Batashi na Sheikh. Dkt. Muhidin Ahmad (Mwalimu Siasa) na (kulia kwa Mufti) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh, Mahmoud Mussa Wadi, Katibu wa Mufti Sheikh. Khalid Ali Mfaume, Sheikh. Samir Zulfika Ramdhan na Sheikh. Abdulrahman Sheikh Al-Habshi.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma Dua Maalum ya Kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona, Dua hiyo imefanyika kwa njia ya Vyombo vya Habari vya ZBC TV na Redio iliyofanyika katika Sutudi za ZBC TV Karume House Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar jana usiku, (kushoto kwa Mufti) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Mufti) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar. Sheikh Mahmoud Mussa Wadi wakiitikia dua hiyo.
Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali akisoma Dua Maalum ya Kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona, iliofanyika jana usiku kupitia katika vyombo vya Habari vya ZBC Tv  na Reio katika ukumbi wa Karume House Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar, kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar. Sheikh Mahmoud Mussa Wadi. 
Mkuu wa Chuo Cha Kiislam Zanzibar Dkt. Sheikh Muhidin Ahmady (Mwalimu Siasa) akisoma Dua Maalum ya kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona, iliofanyika kwa njia ya Vyombo vya Habari vya ZBC TV na Redio kwa kurushwa moja kwa moja kwa Wananchi kujumuika katika dua hiyo, kulia Sheikh Shaban Ali Batashi, Mshauri wa Wairi wa Katiba na Sheria Zanzibar. Sheikh.Fadhil Soraga na Sheikh. Said Suleiman, wakiitikia dua hiyo kujumuika na Wananchi walioo majumbani.
Mkuu wa Chuo Cha Kiislam Zanzibar Dkt. Sheikh Muhidin Ahmady (Mwalimu Siasa) akisoma Dua Maalum ya kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona, iliofanyika kwa njia ya Vyombo vya Habari vya ZBC TV na Redio kwa kurushwa moja kwa moja kwa Wananchi kujumuika katika dua hiyo, kulia Sheikh Shaban Ali Batashi, Mshauri wa Wairi wa Katiba na Sheria Zanzibar. Sheikh.Fadhil Soraga na Sheikh. Said Suleiman, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Saleh Omar Kabi, wakiitikia dua hiyo na kujumuika na Wananchi walioopo majumbani wakifuatila dua hiyo kupitia vyombo vya habari.
SHEIKH Abdulraham Sheikh Al-Habshi akisoma dua maalum ya kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona iliyofanyika kupitia chombo cha habari cha ZBC TV na Redio na kurushwa moja kwa moja jana usiku, (kushoto kwake)Sheikh. Samir Zukfika Ramdhan na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akiongoza Dua Maalum ya kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona na baadhi ya Masheikh wa Zanzibar, iliofanyika jana usiku 27/3/2020 kupitia Vyombo vya Habari vya ZBC TV na Redio, katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Jijini Zanzibar na kurushwa moja kwa moja na kupitia vyombo hiyo na kuwafikia Wananchi kujumuika katika dua hiyo.(kushoto kwa Mufti) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar. Sheikh. Hassan Othman Ngwali, Sheikh.Said Suleiman, Sheikh. Fadhil Soraga, Sheikh. Shaban Ali Batashi na Sheikh. Dkt. Muhidin Ahmad (Mwalimu Siasa) na (kulia kwa Mufti) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh, Mahmoud Mussa Wadi, Katibu wa Mufti Sheikh. Khalid Ali Mfaume, Sheikh. Samir Zulfika Ramdhan na Sheikh. Abdulrahman Sheikh Al-Habshi.

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akiwa katika picha ya pamoja na Masheikh baada ya kumalizika kwa Dua Maalum ya kuiombea Nchi kutokana na Maradhi ya Corona, iliofanyika jana usiku 27/3/2020 kupitia Vyombo vya Habari vya ZBC TV na Redio, katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Jijini Zanzibar na kurushwa moja kwa moja na kupitia vyombo hiyo,kutoka (kushoto kwa Mufti) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar. Sheikh. Hassan Othman Ngwali,na Sheikh Fadhil Soraga na kutoka (Kulia kwa Mufti) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume na waliosimama kutoka kushoto, waliosimama Sheikh Abdulrahaman Sheikh Al-Habshi, Sheikh Samiri Zulfika Ramdhan,Sheikh Dkt. Muhidin Ahmady (Mwalimu Siasa) Sheikh. Said Suleiman na Sheikh Shaban Ali Batashi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.