Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo Cha Mabasi Wilayani Bariadi leo.

 
Jengo Jipya la Kituo Cha Kisasa la Mabasi Wilayani Bariadi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo Jipya la Stendi mpya ya Kisasa Wilayani Bariadi Mkoani simiyu leo March 07,2020. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.