Habari za Punde

Mradi wa Uwekaji wa Taa za Solar Katika Barabara ya Chakechake Pemba


BAADA ya Kukamilika kwa kazi za ujenzi wa sehemu ya kuwekewa taa za barabarani katika maeneo mbali mbali ya mji wa Chake Chake, pamoja na ufungaji wa taa hizo zinazotumia nishati ya Jua, hatia kwa mara ya kwanza wananchi wameanza kuona mabadiliko ya mji huo, pichani taa zikiwa zinawaka.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.