Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk. Ali Mohamed Shein. Afungua Mkutano wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo 7-3-2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh  na  (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja. Bi, Marine Joe Thomas
KATIBU Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Balozi Amina Salum Ali akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na za Umma  na Wafanyabiashara Zanzibar .
BAADHI wa  Wajumbe wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi (10) la Biashara Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia wakati wa ufunguzi  wa Mkutano wa Julkwaa la 10 la Biashara Zanzibar , lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu na Naibu Waziri wa  Mifugo na Uvuvi Mhe Abdalla Ulega. wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) 
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga  na kushoto Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani.(BOT)  Ndg.Julian Raphael Banzi  na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh, wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa Jukwaa la  kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akihutubia na kufungua jukwaa hilo, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar  wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia  na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Jumuiya yac Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Toufiq Salim Turky, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Kumi la Bishara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Ali Mohamed Shein.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu. Akizungumza wakati wa mkutano wa kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
KATIBU  Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar. Ndg. Bakari Ali Bakari akiwasilisha Taarifa ya Braza wakati wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdullwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Hamad Omar Hamad, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar, wakati wa mkutano wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MUWASILISHAJI Mada kutoka Tume ya Mipango Zanzibar.Ndg.Salim Saad, akiwasilisha Mada kuhusia na Uchumi wa Bluu (Blue Economy) wakati wa mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI Wajumbe wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI Wajumbe wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.