Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wauguzi wa Hospitali Mpya ya Mkoa wa Simiyu wakati alipotembelea Hospitali hiyo leo March 2020 kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiutendaji ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika Hospitali hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali Mpya ya Mkoa wa Simiyu Dk. Festo Dugange kuhusu Vifaa Vipya vilivyofungwa kwenye Hospitali hiyo leo March 07,2020 wakati alipotembelea kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiutendaji ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika Hospitali hiyo. kushoto Waziri wa afya Ummy Mwalimu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali Mpya ya Mkoa wa Simiyu Wilayani Bariadi leo March 07,2020. Makamu wa Rais yupo Mkoani Simiyu kwa ziara ya kikazi. kulia Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Antoni Mtaka.
No comments:
Post a Comment