Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa za Kwahani Jijini Zanzibar ukiendelea na ujenzi huo zinazojengwa na Kampuni ya Estim ya Tanzania, kama inavyoonekana pichani nyumba maendeleo yake yakienda kwa kwasi katika hatua ya kwanza kwa nyumba block tano kama inavyoonekana pichani.
KIBAHA FDC YAFANYA MAHAFALI YA 53, YAIBUKA KINARA WA MAFUNZO YA UJUZI
-
Na Mwandishi Wetu,Kibaha
CHUO cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha (FDC Kibaha) kimesema kinajvunia
kuendelea kukuza ujuzi wa kazi kwa vijana pamoja na kubor...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment