Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika (kushoto) baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Taasisi zake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2020/2021. Wa tatu kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia , Profesa Joyce Ndalichako, na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt  Angelina Mabula. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.