Habari za Punde

Tutimize Wajibu Kujikinga na Maambukizo ya Corona (COVID -19)

Wafanyabishara ya maduka ya Sonara Mkunazini Mji Mkongwe wa Ungyuja wakiwa wameweka ndoo za maji na sabuni kwa ajili ya matumizi ya kunawa mikono kwa Wananchi wanaofika katika maduka hayo kupta huduma. kama inavyoonekani pichani hali halisi katika mtaa huo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.