Habari za Punde

Ujumbe wa Timu ya Pamba wamtembelea Waziri Dkt. Mwakyembe jijini Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula. 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na ugeni wa timu ya  Pamba ya jijini Mwanza walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini humo Stanslaus Mabula, Mwenyekiti wa timu hiyo Aleem Alibah (wa pili kushoto) na Afisa Habari wa timu hiyo Abdalah Hassan Chauss (wa kwanza kushoto).
(Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM, Dodoma)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.