Washiriki wa Kikao cha Mikakati ya kupambana na Maambukizo ya Virusi vya
Corona COVID -19 wakiendelea na Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Ndg. Shaban Seif Mohammed.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd.
Shaaban Seif Mohamed, akisisitiza jambo wakati wa Kikao na Kamati za Maafa na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba juu ya kuweka Mikakati ya kupambana na maambukizo ya Virusi vya Corona Nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Kati
Bi.Hamida Mussa Khamis akichangia Mada kwenye kikao cha pamoja cha
Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba.
Na.Kassim Salum Abdi .OMPR.
WenyevitiwakamatizamaafazawilayapamojanawakurugenziwamanispaanahalmashauriwametakiwakusimamianakutekelezavyemamaagizonamaelekezoyakanunizaafyayanayotolewanaserikalikuuilikuziwekasalamaJamiiwanazosimamiakatikamaeneoyao.
KufanyahivyokutaisaidiaserikaliKuukatikamikakatiinayojiwekeayakuwalindawananchi
wakehasawakatihuuwamapambanodhidiyakudhibitinakuzuiakueneakwavirusivya corona
vinavyosababishahomayamafuamakalinamapafu.
KatibumkuuofisiyaMakamuwapiliwaRaiswa
Zanzibar Nd. ShaabaniSeif Mohamed alielezahayokatikakikaomaalumchaWenyevitiwaKamatizakukabiliananamaafazawilayapamojanaWakurugenziwaManispaanaHalmashaurikutokaWilayazoteza
Zanzibar hapoukumbiwa Sheikh IdrissAbduliwakiliuliopokikwajunikatikamanispaayajiji
la Zanzibar.
Nd. ShaabanSeifalisemaviongozihaolazimawaachanenaTabiayamuhaliwakatiwakitimizawajibuwaowakazikwakusimamianjiazakungianchiniikiwemobandarirasminabandaribubuilikupambananaviahriambalimbalivinavyowezakusababishakuneakwamambukizoyavirusivyakoronapamojanakuzuwiamikusanyikoyawatuisiokuwayalazima.
KatibuMkuuShaabanalitiliamkazokauliiliotolewanaRaiswa
Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
SheinkwakuwatakawananchikuachatabiayaukaidikatikakutekelezamaagizonamiongozoyaserikaliinayotolewakupitiawizarayaAfyailikuepukamadharaambayotayariyameshaathiribaadhiyamataifaDuniani.
Alielezakuwaendapowananchiwatapuuzamaagizoyanayotolewanaserikalikunauwezekanowakutokeakwaongezekowamaambukiziyavisurivinavyosababishahomayamafuamakalinakupelekeanchikukumbwanataharukihaliitakayosababishaserikalikuchukuamaamuzimagumu.
NaeNaibuMkurugenziMtendajiwaKamisheniyakukabiliananamaafa
Zanzibar Muhidini Ali MuhudiniakiwasilishamaagizoyaliotolewanaSerikalikupitiaKamisheniyakukabiliananamaafaalisemaWenyevitiwaKamatizaMaafaWilayanaWakurUgenziwaWilayawanajukumukubwa
la
kuhakikishamikusanyikoyaWatuisiyoyalazimakwenyemaeneoyaoinaepukwawakatihuuwakipindi
cha mpitowajangahilo.
WakiwasilishataarifayamwenendowamaradhiyaCorona
MaafisakutokawizarayaAfya Zanzibar Ndugu Halima Ali KhamisnaNduguYahyaMbwanaMselemwalielezawizarayaAfyainaendeleanautaratibuwakuwasimamianakuwafuatiliawatuwaliokatikakarantiniambapojumlayawatu
182 wameruhusiwabaadayakumalizamudawaokuwakatikakipindi cha uwangalizi.
WakichangiakatikakikaohichowenyevitiwakamatizamaafapamojanawakurugenziwaWilayawalisemakutokananaongezeko
la
maambukizikueneandaniyanchiipohajakwawananchiwenyewekuchukuatahadharisambambanaserikalikuwekautaratibumaalumwakuwawekakarantiniwatuwanaotokamaeneomenginekwashughulimbalimbaliikiwemouvuvi.
OfisiyaMakamuwaPiliwaRaiswqa
Zanzibar
08/04/2020.
No comments:
Post a Comment