Habari za Punde

MAFUNDI WAKIFUNGA MASHINE YA KUCHUNGUZIA VIRUSI VYA CORONA

Mafundi kutoka Kampuni ya Bahari Pharmacy ya Jijini Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la ufungaji wa Mashine ya Mpya ya uchunguzi wa Virusi vya Corona iliyowasili hivi karibuni Nchini, ufungaji wa mashine hiyo unafanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.
Kama wanavyoonekana wakiwa katika kazi hiyo ya ufungaji wa mashine hiyo kwa ajili ya kufanyika uchunguzi wa Virusi vya Corona Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.