Muonekano wa Mji wa Chakechake Kisiwani Pemba katika harakati za kila siku kwa Wananchi wa Pemba, ukiwa umepambwa na miundombinu ya taa maalum za kuongozea gari kama inavyoonekana pichani.
NCAA YANADI VIVUTIO VYA UTALII MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI DUNIANI
YALIYOFANYIKA DODOMA
-
Na Philomena Mbirika, Dodoma
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetumia fursa ya maadhimisho ya
Siku ya Nyuki Duniani yanayofanyika jijini Dodoma ku...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment