Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakiwa wameshika bunner ya kuwakaribisha Watalii walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa KIA Arusha
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa KIA.
No comments:
Post a Comment