Habari za Punde

Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Tanga Lampongeza Rais Magufuli

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa kikao hicho
KATIBU wa CCM Mkoa wa Tanga Shaibu Akwilombe akizungumza wakati wa mkutano wa Baraza  kuu la Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Tanga kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Tanga Nassoro Makau
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Tanga Nassoro Makau akizungumza wakati wa mkutano huo kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Shaibu Akwilombe.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Mkoba akizungumza kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Shaibu Akwilombe na kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga.  


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwa kwenye picha moja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Tanga Nassoro Makau na Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Tanga Moza Shilingi
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT wilaya ya Tanga Sussan Uhinga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.