Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kamuzu Nchini Malawi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera leo Julai 06,2020.
NANDI KUUNGA MKONO NEMBO YA MADE IN TANZANIA AHAIDI KUITUMIA KWENYE BIDHAA
NA MZIKI WAKE
-
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya, Faustina Charles Mfinanga, maarufu kwa
jina la Nandy, ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiunga mkono nembo ya 'Made
in Tanz...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment