Habari za Punde

Ujenzi wa Barabara ya Bububu Hadi Kwa Nyanya Ikiendelea na Ujenzi Wake.

Moja ya daraja katika ujenzi wa barabara ya Bububu Kituo cha Polisi hadi kwa nyanya ikienelea na ujenzi huo kama inavyoonekana pichani moja ya daraja katika barabara hiyo likiendelea na ujenzi wake ili kuweza kuweka sawa miundombinu ya kupitisha maji wakati wa mvua. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.