Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akitowa Salamu Kwa Mwili wa Rais Mstaaf Mkapa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiaga Mwili wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, Leo Julai 27, 2020 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.