Habari za Punde

MAJALIWA AZINDUA BANDARI YA KABWE WILAYANI NKANSI

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwapungia wananchi wakati alipowasili  kwenye eneo la Kabwe wilayani Nkansi kuzindua bandari Julai 5, 2020. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua bandari ya Kabwe  wilayani Nkansi, Julai 5, 2020. Wa pili kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, kushoto ni Mbunge wa Nkansi, Ally Kesi, Wa nne kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo na wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Baraka Mdima
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua bandari ya Kabwe wilayani Nkansi, Julai 5, 2020.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege na wapili kulia ni Mbunge wa Nkansi, Ally Kesi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kuzindua bandari ya Kabwe wilayani Nkansi, Julai 5, 2020. Wa tatu kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, Kulia ni Naibu Waziri  Ofisi ya Rais TAMISEMI, Jesephat Kandege na wapili kulia ni Mbunge wa Nkansi, Ally Kesi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kabwe wilayani Nkansi baada ya kuzindua bandari ya Kabwe. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua bandari ya Kabwe  wilayani Nkansi, Julai 5, 2020. Wa pili kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, kushoto ni Mbunge wa Nkansi, Ally Kesi, Wa nne kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo na wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Baraka Mdima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.