Habari za Punde

Makamu wa Rais Mama Samia aendelea na ziara yake ya kichama Mkoa wa Mjini

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza  na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Mjini Unguja katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar  leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Mjini Unguja. .  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Mjini Unguja  alipowasili katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar  leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Mjini Unguja.
Mjumbe wa Kamati  Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia ngoma ya Kibati alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar  leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.