Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya KMKM na Chuoni Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1.

Mshambuliaji wa Timu ya KMKM akiruka kiunzi wakati akimpita beki wa Timu ya Chuoni wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji wa Timu ya KMKM akijiandaa kuzuiya mpira huku beki wa Timu ya Chuoni akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji wa Timu ya KMKM na wa Chuoni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji wa Timu ya KMKM na wa Chuoni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.