Habari za Punde

Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) Yahamia Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza na watumishi wa NEC ambao wamehamia Ofisi mpya za Makao Makuu ya Ofisi hiyo yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. Awamu ya kwanza ya watumishi wa NEC wamehamia Dodoma wiki hii.
Watumishi katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) wakimsikiliza Murugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera (hayupo pichani) wakati akizungumza na watumishi waliohamia kwa awamu ya kwanza  katika ofisi mpya za Makao Makuu tume  yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana.
 (Picha na NEC).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.