Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Paulo Mshimo Makanza kuwa
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Boniface
Luhende kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu
ya Chamwino mkoani Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert
Chalamila akimuapisha Ssgt Mayeka Simon Mayeka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya
mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Joseph Joseph
Mkirikiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hafla fupi iliyofanyika katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gabriel Pascal
Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Anna Mghwira akimuapisha Alhaj Rajab Kundya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi
Viongozi mbalimbali wakila
kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa TAMISEMI
SelemaniJafo,Mkuu wa Mkoa wa Dodoma BinilithMahenge, Katibu Mkuu TAMISEMI Eng.
Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu Utumishi Dkt. LaureanNdumbaro katika picha ya pamoja
na viongozi mbalimbali walioapishwa leo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Wakuu wa Mikoa ya Dar
es Salaam Aboubakar Kunenge pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Joseph
Mkirikiti mara baada ya kuwaapisha Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment