MSAFARA
wa gari maalum ya JWTZ ikiwa imeubeba
Mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Hayati Benjamin William Mkapoa ukiwasili katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya kutowa heshima ya mwisho kwa Viongozi wa Kitaifa na Wageni
waalikwa leo.
MSAFARA wa gari maalum ya JWTZ ikiwa imeubeba Mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin William Mkapoa ukiwasili katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutowa heshima ya mwisho kwa Viongozi wa Kitaifa na Wageni waalikwa leo.
MJANE wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa (aliyejivunikakitambaa
cheusi) akiwa na Wanafamilia baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kutowa
heshima za mwisho kwa Viongozi Wakuu na wageni kutoka nja ya Tanzania
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa na Viongozi katika jukwaa kuu wakati ukiwasili msafara uliochukua mwili
wa Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya hafla kuuanga kwa Viongozi wa Kitaifa (kushoto kwa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
(kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,
wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa msafara huo
RAIS
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (kulia kwa
Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe Jakaya Mrisho
Kikwete, wakiwa katika jukwaa kuu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa, katika hafla
ya Kitaifa ya kuuaga Mwili wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar
es Salaam leo
BAADHI
ya Mawaziri wa SMZ na SMT na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati ukipigwa
wimbo wa Taifa katika hafla ya kuuanga
Mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania
Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
WAGENI
Waalikwa na Wananchi na Viongozi wa Serikali na Wakuu wa JWTZ wakitowa salute
wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Da es Salaam baada
ya kuwasili kwa mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania.Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa kwa
Viongozi Wakuu kuuaga mwili wa marehemu leo.
BAADHI
ya Wananchi wa kutoka maeneo mbalimbali Nchini Tanzania wakishiriki katika
hafla ya kuuaga Mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Benjamin Willian Mkapa, iliofanyika Kitaifa leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es
Salaam, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
VIONGOZI
wa Jukwaa Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya
Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya
Muunganio wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam, wa kwanza kulia Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia kwa
Waziri Mkuu) Waziri Mkuu wa Burundi. Jenerali Alain Guillaume Bunyoni , Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Mhe.
Philip Mangula na Waziri Mkuu Mstaaf Edward Lowasa.
WAZIRI
Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Mwenyekiti wa
Kamati ya Mazishi ya Rais Mstaaf wa Tanzania wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin
Mkapa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwahutubia Wananchi katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020, katika hafla ya Kitaifa ya
kuuanga mwili wa marehemu.
WAZIRI
Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume Bunyoni, akizungumza na kutowa salamu
za Nchi yake wakati wa hafla hiyo ya Kitaifa ya kuuanga mwili wa Marehemu Rais
Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin Willian Mkapa, iliofanyika katika
uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo
KIONGOZI
wa Mabalozi Nchini Tanzania wanaowakilisha Nchi zao Balozi wa Comoro Nchini Tanzania akitowa salamu
wakati wa hafla ya kuuaga mnwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu
Tanzania. Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
leo
RAIS
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, iliofanyika katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo
BAADHI
ya Viongozi wa Serikali na Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli(hayupo pichani ) akihutubia
katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Tanzania
Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, iliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam leo
BAADHI
ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo
pichani) akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais
Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
BAADHI ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
MJANE
wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa
Mama Anna Mkapa akitowa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa marehemu wakati wa
hafla ya Kitaiga ya kuuaga mwili huo iliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam leo
RAIS
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitowa
heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania
Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
RAIS Mstaaf wa Mzee Ali Hassan Mwinyi na Mama Siti Mwinyi wakitowa
heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania
Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mhe.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitowa
heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania
Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
MAKAMU
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan , akitowa heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais
Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya
kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
RAIS
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya
mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
RAIS
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya
mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment